Wakati mwingine mitandao ya Kijamii inatufanya tuwasifu watu tuliotakiwa kuwaonea huruma na kuwahurumia tuliotakiwa kuwasifu!
Wakati mwingine mitandao ya Kijamii inatufanya kuwaona mashetani watu tuliotakiwa tuwaone malaika na malaika tuwaone mashetani.
Wakati mwingine mitandao ya Kijamii inatufanya kuwaita washenzi watu tuliotakiwa tuwaite waungwana na waungawana tuwaite washenzi!
Wakati mwingine mitandao ya Kijamii hutufanya tuliotakiwa kuwaita vibaka, tuwaite wastaarabu na wastaarabu tuwaite vibaka
Naichukia social media kwa kutengeneza maskini wenye majina makubwa; naipenda social media kwa kuniunganisha na watu wengi wenye akili na upendo kama wewe!
Karibu katika Jukwaa la fikra tukae tupige stori kama zamani, tusimuliane hadithi na tucheke.
Gonga cheers kwa kunitafuta WhatsApp namba +255620306815 au piga simu namba +255654836144.
0 Comments