Kama lilivyojina la jukwaa la fikra, kwamba wakati mwingi ni kutuweka katika fikra za maisha zaidi! 

Leo ninakuletea jambo ambalo inabidi tusaidizane kushangaa katika baadhi ya mambo.

>kwanza utamuelewaje Daktari anayesimama kwenye geti la hospitali kuzuia wagonjwa?

>pili umuelewaje fundi gereji anayekataa magari mabovu?

>tautu utamuelewaje mchungaji anayezuia watu wenye matendo mabovu wasiingie kanisani?

       Utamuelewaje? Leo tunasaidiana kushangaa tu!

Naomba tuasaidiane kushangaa tukiwa tunasubiria mambo mengi kutika Jukwaani!