Katika maisha kuna vitu vingi vinaumiza, vinashangaza na kustajabisha sana. 

 Ukiamua kuishi kwa misingi ya akili yako, utanufaika sana ila kuishi kwa ajili ya watu wengine unaweza kuishia kufa bila kujua kwa nini ulizaliwa.

 Samahani sana kwa watumiaji wa Jukwaa la fikra kwa kuwa kimya kwa muda sasa. Jukwaa linarudi rasmi.