1. Utasikia, *usinivuruge akili mwanaharamu wewe*, utadhani hata hizo akili zimo.
2. Utasikia *akili ya biashara ninayo sema nimekosa mtaji*, sasa kama una akili unakosaje mtaji?
3. Utasikia *natafuta mpenzi anayejielewa na wakati wewe mwenyewe hujielewi*
4.Unavyochelewa kuamka watu wanajua umetoboa kimaisha kumbe unapunguza masaa ya kuteseka. Wakuache!
5. Utasikia *hobby yangu ni kuimba kwaya* na wakati usiku kanalala.
6. Utasikia, *maskini anaishi maisha mazuri kuliko tajiri*. Mpendwa wenzako kabla ya kufungua mdomo, wanafungua akili.
7. Utasikia mie, *kazi iendeleee* na wakati hana kazi.
8. Ukimtongoza utasikia, *nilikuwa nakuheshimu! Umenikwaza!* Inamaana unatongozwa na usiowaheshimu?
9. Siulituambia ni rafiki yako wa kufa na kuzikana, leo amekuchomea umefukuzwa kazi ufe unalia, we vpi?
10. Utasikia ndoa ni uvumilivu na wakati yeye kakimbia ndoa
0 Comments